Wale wasichana 'wanaomegwa' na wazungu

Wale wasichana 'wanaomegwa' na wazungu

Hivi hawa dada zetu wa kibongo wanaolewa na wazungu.Ni kweli wamezama dimbwini kabisa ndembendembe kwenye huba la mzungu au kuna element za mtonyo zinainfluence huba litokee.

Ninavyowajua dada zangu walivyozoea kalinye kalinye za midyudyu ya kinyamenya na kisukuma na mikito ya sikinde kweli kabisa mtu aache sindimba la kiafrica aende kuwa muke ya muzungu asilimia 100 for better for worse na kibamia cheupe na cold blood.

Ni penzi la kweli au mchongo wa maisha tu kama ni love tu mbona hamuolewi na wapiga debe makondakta wa kizungu mnasaka vibabu vilio zeeka vyenye hela ili vikifa mrithi nyumba.
Bila kusahau wazungu ni waumini wa kubwa sana wa mtandao pendwa 0713 sasa sijui wanahimili vp hv vishindo
 
Ila ndo wanafumuliwa rinda hatari, huo naskia kinyaa nikiona mdada ana date na mzungu maana anamengi ya ajabu anapitia kitandani
Mmh kwani wazungu wote lazma wafumue marinda? Hizi assumption nyingine wakati wanaume wa kibongo sasa hivi wengi wao ndiyo wana huu mchezo mchafu.
 
Ivi mkuu Kiranga Huwa unajiskiaje pindi kijana mkorofi anapokujibu kistaarabu na kwa nidhamu, lakini wewe ukaendelea kumletea wenge????

Najisikia kusikitika kwamba kijana huyo si mkorofi vya kutosha.

Hujajibu maswali yangu.
 
Mmh kwani wazungu wote lazma wafumue marinda? Hizi assumption nyingine wakati wanaume wa kibongo sasa hivi wengi wao ndiyo wana huu mchezo mchafu.
WE NENDA KWA MZUNGU/MHINDI/MWARABU/MPEMBA HAPO MARINDA YANAKUHUSU
 
Najisikia kusikitika kwamba kijana huyo si mkorofi vya kutosha.

Hujajibu maswali yangu.
''Kadri unavyozidi kumzingua paka, ndivyo anavyozidi kunyanyua mkia''
So endelea tu...
 
''Kadri unavyozidi kumzingua paka, ndivyo anavyozidi kunyanyua mkia''
So endelea tu...
Tatizo wewe paka umejiingiza katika mtanange na Simba.

Hujajibu maswali yangu.

Pilipili ya shamba inakuwashia nini?

Unawasumbua wanawake kwa wanavyochagua jinsi ya kuolewa, unataka kuolewa wewe?
 
Back
Top Bottom