Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,034 Aug 20, 2012 #1 Docta wa vichaa alikutana mtaani na kichaa mmoja aliyetoroka kambini. Akamuuliza;kwanini upo nje ya kambi?,yule kichaa akamjibu:"Wale wenzangu wapo boarding na mimi nipo day"!
Docta wa vichaa alikutana mtaani na kichaa mmoja aliyetoroka kambini. Akamuuliza;kwanini upo nje ya kambi?,yule kichaa akamjibu:"Wale wenzangu wapo boarding na mimi nipo day"!
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,853 Aug 21, 2012 #2 hhahahahaha...............kwahiyo anaenda kambini na kurudi.