Wale wanaosubiria confirmation NACTE

Wale wanaosubiria confirmation NACTE

Congratulation!! Your are successfully confirmed to join selected Programme below in said Institution/College.

Hii inamaanisha nini?

Wewe unasubiria confirmation? Mimi nilipoona jina langu chuo fulani nikaenda chukua admission na nikapewa sasa wa confirm wasi-confirm kivyao
 
Mkuu we wa Nacte au TCU?SBB Nacte ukiwa selected kinabakia chuo tu ulicho kuwa selected.

mm nacte na 3.6 GPA lkn wakachomoa, cha ajabu hata kile cha kata eti nao wamechomoa ahahahaaaa hata udom??? wakati msela angu hapa ana 2.9 GPA eti nae kaenda tena edc
 
mm nacte na 3.6 GPA lkn wakachomoa, cha ajabu hata kile cha kata eti nao wamechomoa ahahahaaaa hata udom??? wakati msela angu hapa ana 2.9 GPA eti nae kaenda tena edc
Ndugu nilikuwa the same na wewe ila saiv tatizo limeisha.jaribu kuangalia kama sehemu ya NTA/equivalent kama gpa yako inasoma. inawezekana kuna matokeo yako yana miss either chuo au nacte wenyewe hawajaingiza kwenye system yao. so wakirun system ya eligibility inakuta we haupo eligible kwa kozi yeyote na waki run selection hauchaguliwi automatically. ni muhimu sana kuhakiki matokeo yako kama unahisi una vigezo vyote na hujachaguliwa hadi sasa
 
Xo guyz kama chuo wameshakubl unaweza kwenda kuchukua joining instruction hata kama hauja2miwa kwenye email
 
Back
Top Bottom