wale wananii mpoo?

wale wananii mpoo?

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1383317_167684313425640_2080808208_n.jpg
 
Hawa wadudu siwapendi,waliwai sababisha nikala kichapo kutoka kwa dingi kisa wamekula "ulezi"

Ilikuwa ivi:nilipewa duty ya kuhakikisha kwamba ndege hawali mazao"ulezi"kwa wale wanaofahamu,na superviser alikuwa babangu,na yeye alikuwa akikagua kila asubui unavyoenda shambani,mpaka kesho.,
Sasa hawa wadudu wanakawaida ya kula usiku.
Nakumbuka siku hiyo baba alipokwenda kukagua hali ilikuwa tete,yani walikuwa wamekula mpaka basi hata mimi nilishangaa mana shamba sikuliacha vile wakati naondoka jioni.
Nilichapika si kidogo.....
Baada ya siku kadhaa ndo ikagundulika hawa wapuzi ndo walikuwa tatizo.
Lakini kichapo heavy nilisha pokea.
 
Panzi hawaliwi hawa, nzige wanaliwa tena kwa kuwa tu nzige wakitokea mahali ujue nu catastrophe, hasa baa la njaa, kwani hufyeka kila kitu!
 
namkumbuka rafiki yangu anawapenda hao ..........

ila mie siwawezi kabisaaaaaaa
 
mi nikiwaogopa sana hao na mende haswa wakianza kuruka nawehuka!!!
 
Njaa nyingine bana? how can someone eat this S*&t?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom