Wale wanafunzi wawili watoroka Guest!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wanafunzi wawili watoroka Guest!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Jul 13, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Wale madent wawili waliotelekezwa nyumba ya kulala wageni wametoroka baada ya kuaga wanaenda kula kisha kutokomea jumla!!!!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  yaani hio story kama wanaigiza fulani hivi... hata hivyo wanajua what they are doing...
   
 3. charger

  charger JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hivo vitoto vilisha kua siku nyingi
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Naona hata hawa qualify tena kuitwa watoto...
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Asante sana maana wale walionisakama jana kuwa sina maadili sijui leo watasemaje
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  2 knw what your doing it mean kuaccept matokeo ya action yako!Wangapi wanajua haya?Au ndo yale unapata ujauzito unaanza kuchanganyikiwa!
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  NATA alidai kuwa hao mabinti ni watoto, lakini mi nakataa katakata kuwa kwa binti kama hao wenye umri usiopungua miaka 16 ni watu wazima kabisa japo hawajatimiza miaka 18, naamini kuwa hawakumfuata huyo jamaa bali walikwenda kwa ajili ya mambo yao binafsi.
   
 8. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kama movie, mara shule, mara likizo, mara wameroka kutoka arusha kwenda dar, mara jamaa alikuwa rafiki walieenda kumpa hi, mara wanadai alikuwa baba mdogo, mara anawataka tena wakamnyima, akawatelekeza, kupika pamoja na wahudumu, wanaomba nauli ya kurudi arusha tena wametoroka, mhhh!!! Hahahahahahahaha!!
   
Loading...