Wale waliosoma risk management nadhani tunajua

Wale waliosoma risk management nadhani tunajua

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Kimsingi mapenzi ya siku hizi risk nyingi i.e kugombana, kunyimwa unyumba, kuachana muda wowote. ili kujiweka mbali na stress, matatizo kama haya yasikudhuru. MCHEPUKO NDIO solution, MICHEPUKO NI LOVE INSURANCE... michepuko oyeee
 
..kwanini uingie kwenye committment kama huna imani na mwenzako? Ndio mnakuja kutesa watoto wa watu baadae
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu michepuko ni Reinsurance


Just like the old days
 
Kwahivyo kuingia kwenye ndoa au mahusiano, is it Risk behaviour?
 
Tusiotaka presha na kufuatiliana tumeamua kuwa singo.


Just like the old days
 
Je, unatambua potantiol hazards ya michepuko?
 
nakemea u singo kwa nguvu zotee!!!!! kwangu kuwa singo ni marufuku

Faida za kuwa singo ni nyingi kuliko kuwa na mpenzi kwa jinsi nionavyo mimi.
Kwanini unapinga kuwa singo?


Just like the old days
 
Sijaona risk management inavyo connect hapo
 
Watu wanapotumia njia zote kuhalalisha michepuko
 
Faida za kuwa singo ni nyingi kuliko kuwa na mpenzi kwa jinsi nionavyo mimi.
Kwanini unapinga kuwa singo?


Just like the old days

sina sababu nyingi kama ulivyosema wew bt moja tu ya msingi ni kwamba ninatakiwa nikitumie kiungo changu ipasavyo
 
Japo si muumini sana wa michepuko, lkn inapobidi unalazimika kuchepuko upate japo pleasure for some minutes.
 
sidhani kama ni njia sahihi. unapokutana na hali kama hiyo kuna njia mojawapo ya kumanage risk; coping to a particular risk so through this way u can minimize the effect of the risk by discussing with ur partner and other related solutions.
 
Back
Top Bottom