Wale waliosoma advanced physics, subtopics gani zilikusumbua sana?

Wale waliosoma advanced physics, subtopics gani zilikusumbua sana?

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
5,949
Reaction score
11,822
Wakuu wale waliosoma physics advance taja subtopics 2 za MECHANICS ambazo zilikuwa zinakusumbua sana .
 
maswal ya error na projectile nilikuwa naishia kuyakosa tu ihali ni simple kuzisoma
 
Hahahaha tumia intermediate ndio utaona subtopic unayoona nyepesi ndio ngumu.
Shikamoo intermediate enzi hizo.
 
Mimi kwangu subtopic moja tu ndiyo iliyokuwa inanisumbua

Rotational motion
Kitambo sana
 
Mimi hakuna topics ngumu huko katika mechanics ila chuo kuna topic ya hesabu inaitwa "Sympathetic topology" hii ni nouma
 
Mje Huku chuo Mkute Engineering Mechanics mbona utaona Phz advance ilikuwa Nyepesi! Anyway Phz somo linaloeleweka kama unajua kufikiri vyema
 
Back
Top Bottom