google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
salamu zenu wakuu.
Kama ilivyo kila mmoja ametoka katika familia tofauti tofauti kimalezi. Malezi ya familia nyingine kwa kweli mtihani. Baba ni kama Simba mbugani yaani muda wake wa kurudi watoto na mke wote hawana amani, raha wala furaha.
Japo sijatoka katika hizo familia ila nimekaa na familia moja karibu, yaaani Zee likifika lazima usikie kilio tu leo watoto, kesho mke wake mfanyakazi nk.
Wadau mliozaliwa na kulelewa katika hizo familia ebu tupeni mikasa yetu mlikuwa mnafanya nn mshua anakuwa mbogo kila siku? wapo na wale waliokuwa wakiambiwa wawalete wazazi, wako tayari kulipa mlevi yeyote mtaani awe kama mzazi kuliko ngumi na mateke, makofi, kutoka kwa mshua.
karibuni wadau.......
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app