Wale wako single kuna huyu dada anatafuta mchumba

Twende mbele turudi nyuma, sielewi inahusiana na kitu gani lakini kisheria polisi wa kiume hawatakiwi kukagua wala kuwakamata wahalifu/watuhumiwa wa kike!
Kwenye masomo ya Sheria kuna kitu kinaitwa haki ya kuvunja Sheria.
Mfano: Mtu huruhusiwi kuingia chumbani kwa mtu bila ruhusa yake, lakini unaona moto unalipuka katika chumba cha jirani hapo utaruhusiwa kuingia kuokoa vitu au mtu pasi na ruhusa yake.
Umkute mtu anatukana au anavuta bangi au anabaka hutamshika kwakuwa ni jinsia tofauti?
Ok.
Understood?
 
Ni mpenda mazoezi na ukiwa nae huhitaji bouncers
Hawa askari ni sawa na wa Hamza, wanashindwaje wengine wakamvute mabega kwa ndani na kumdhibiti ili wafunge mlango?
Huyu atakuwa mvuta unga tu, haya matukio yanazidi hasa Us
 
Kwenye masomo ya Sheria kuna kitu kinaitwa haki ya kuvunja Sheria.
Mfano: Mtu huruhusiwi kuingia chumbani kwa mtu bila ruhusa yake, lakini unaona moto unalipuka katika chumba cha jirani hapo utaruhusiwa kuingia kuokoa vitu au mtu pasi na ruhusa yake.
Umkute mtu anatukana au anavuta bangi au anabaka hutamshika kwakuwa ni jinsia tofauti?
Ok.
Understood?
Kwa maneno mengine inaitwa for the best interest of serving a life.
 
Kwenye masomo ya Sheria kuna kitu kinaitwa haki ya kuvunja Sheria.
Mfano: Mtu huruhusiwi kuingia chumbani kwa mtu bila ruhusa yake, lakini unaona moto unalipuka katika chumba cha jirani hapo utaruhusiwa kuingia kuokoa vitu au mtu pasi na ruhusa yake.
Umkute mtu anatukana au anavuta bangi au anabaka hutamshika kwakuwa ni jinsia tofauti?
Ok.
Understood?
Tofautisha matukio...Tukio la kutokea ghafla na la kupanga ni tofauti! ndio maana Police duniani kote wanaajiri pamoja na wanawake hiyo ikiwa ni kuplay part kwenye wahalifu wa kike....Tukio lolote la kumkamata mtu ni la kupanga!!
 
Back
Top Bottom