Wale wajuzi wa madish ya Tv

Wale wajuzi wa madish ya Tv

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,316
Habarini wakuu

Leo nmenunua decoda ya startimes kile cha dish ila nna swali flan
Je nikipata yale madish ya analogy yenye njia mbili naeza tumia dish moja na mwingine mwenye decoda ya continental?
 
Startimes wana uzi wao humu JF kwa ajili ya maswali, maoni na challenges...
 
Habarini wakuu

Leo nmenunua decoda ya startimes kile cha dish ila nna swali flan
Je nikipata yale madish ya analogy yenye njia mbili naeza tumia dish moja na mwingine mwenye decoda ya continental?
Nicheck kupitia namba hii 0622001223
 
Back
Top Bottom