Wale waganga wa Yanga ndo wameondoka Temeke kurudi kwao Mtwara kwa baiskeli

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Tuwatakie safari njema!

Wale waganga wameondoka mda huu hapa temeke kwa baiskeli za Phoenix, wamebeba mafurushi yao mgongoni kama watalii. Leo wanatarajia kulala kibiti Insha Allah!!

Wapeni ushirikiano wenu wawapo safalini!

Ikiwezekana Mapokezi ya heshima kwa kazi kubwa waliyoifanya!
 
Mkuu, nimewasomea washkaji huu mwandiko wako. Umetuvunja mbavu kwa vicheko hapa tulipo! 😂😂😂

-Kaveli-
 
Walimtia Upofu Manula akawa anauona mpira kama Mshale kudadadeki!! jamaa nuksi sana hao!

Hii thread imetuchekesha sana hapa kijiweni. Siku yetu imeenda poa sana kwa uzi huu. 😂😂😂😂

-Kaveli-
 
Tuwatakie safari njema!

Wale waganga wameondoka mda huu hapa temeke kwa baiskeli za Phoenix, wamebeba mafurushi yao mgongoni kama watalii. Leo wanatarajia kulala kibiti Insha Allah!!

Wapeni ushirikiano wenu wawapo safalini!

Ikiwezekana Mapokezi ya heshima kwa kazi kubwa waliyoifanya!
Bora hatuwaoni ila Kagere na hirizi hii ni aibu kwa mpira wetuu😂😂
 
Hii thread imetuchekesha sana hapa kijiweni. Siku yetu imeenda poa sana kwa uzi huu. 😂😂😂😂

-Kaveli-
Kuna mmoja wao hao jamaa kwenye furushi lake anae chura mmoja mkubwa kama njiwa!..wanadai ana umri wa miaka 15 na miezi mitano!
 
Tuwatakie safari njema!

Wale waganga wameondoka mda huu hapa temeke kwa baiskeli za Phoenix, wamebeba mafurushi yao mgongoni kama watalii. Leo wanatarajia kulala kibiti Insha Allah!!

Wapeni ushirikiano wenu wawapo safalini!

Ikiwezekana Mapokezi ya heshima kwa kazi kubwa waliyoifanya!
Wamejitahidi kulazimisha draw na Mabingwa wa Tanzania Bwawani kuna sherehe kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka balaa, jamaa kaingia na bima ya afya!! Namkumbuka mbeba power bank wa timu enzi hizo (Papaa Ndaw). Ama kweli hasidi haachi asili.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
hatari sana
 
Hao wazee hawaendi Zanzibar maana usikute vyura wakakutana tena na myama halafu wakawa wakiwa ghafla
 
Tuwatakie safari njema!

Wale waganga wameondoka mda huu hapa temeke kwa baiskeli za Phoenix, wamebeba mafurushi yao mgongoni kama watalii. Leo wanatarajia kulala kibiti Insha Allah!!

Wapeni ushirikiano wenu wawapo safalini!

Ikiwezekana Mapokezi ya heshima kwa kazi kubwa waliyoifanya!
Usishangae wametekwa njiani ili apelekewe Mo awanunue, si unawajua Msimbazi walivyo na hela siku hizi? Na wakiwapata wale, Simba haifungwi hata na Liverpool!
 
Back
Top Bottom