BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
- Thread starter
- #21
Tunapiga mtu 2 na kutwaa ubingwa
Kuna muwa mwingine kutoka kwa Wydad muwa kweli kweli Wydad 1 Ahly 0.View attachment 2243384
Leo tunamdunda mtu jamani
My prediction
Wydad Casablanca 2-1 Al ahly, FT
Karibuni sana makanda wangu
Long range Makombora yanapigwa hapa uwanjani zaidi ya yale ya korea
DahKitu cha pili hichoo
Wydad 2-0 dskika ya 47
Wydad ni hatari sana wanapokua na mpira, press yao ni kubwa mno.Al ahly anapelekwa Moto balaa[emoji848]