Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,624
Habari zenu wadau,mimi kwa jina naitwa juma,nilikuwa nawaomba kwa mtu yeyoye ambaye alishafanyaga mtihani wa veta grade (2)two mwaka wowote ule nakufaulu mwenye kutumia jina la Juma ramadhani ama juma nilikuwa namuomba namba yake ya mtihani kwa kuwa veta masomo ya grade yanafutwa mwakani 2O15 na mimi nilikuwa nataka kufanya grade One,Ushauri msiwe na wasiwasi wowote ule kwani aliyeniambia ivyo ni ticha wa veta,aliyetayari ani-pm