Wale wa university of arusha.

Wale wa university of arusha.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Kwa wanaosoma na waliochagulia chuo kikuu cha arusha naomba naomna mnipe experience ya kuishi hapo chuoni na unaporipoti maana naskia kama ukikaa hostel inabidi ujiaandae kama unaenda kuripoti sekondari. yaani ubebe godoro ,ndoo, beseni nk Je ukweli upoje? ipi ni bora kukaa hostel au off campus. Gharama za kukaa nje ya hostel zipoje? chakula je gharama zipoje?
 
1.Chuo kipo Arusha maeneo ya USA river
2.chuo kinamilikiwa na kanisa la wasabato
3.chuo kwa first year wanafungua tarehe 29/9
ni hayo tu kutoka kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom