Naomba kujua wale waliofanya uhamisho nacte toka vyuo walivyokuwa wamechaguliwa hapo awali kwenda vyuo vipya utaratibu upoje kupata joining na taratibu zingine za kujiunga, maana kuna vyuo kama vya ualimu Wanafunzi wameanza masomo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.