tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Oct 15, 2015 #21 tang'ana said: Kijana kama umechaguliwa conas kasome sana aisee,pale wana departmental GPA,so ucje ukaenda kujilinganisha na wenzio wa coss au udbs mkaenda kushnda pale TBS kushangaa wanawake. Click to expand... ha ha ha habari ya TBS umenikumbusha mbali, pale safi sana kwa kuondolea stress!!
tang'ana said: Kijana kama umechaguliwa conas kasome sana aisee,pale wana departmental GPA,so ucje ukaenda kujilinganisha na wenzio wa coss au udbs mkaenda kushnda pale TBS kushangaa wanawake. Click to expand... ha ha ha habari ya TBS umenikumbusha mbali, pale safi sana kwa kuondolea stress!!
Abtali Mwerevu JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 773 Reaction score 668 Oct 15, 2015 #22 focus diesel said: Na kwa wale wanafunzi wapya boom inakuwa sh ngap kwa mara ua kwanza? Click to expand... ni 650,000/ kwa sasa imepanda so inaweza cheza 700,000/ na visent kadhaa! Nadhani kwa hiyo laki saba tutakutana baa siku moja!
focus diesel said: Na kwa wale wanafunzi wapya boom inakuwa sh ngap kwa mara ua kwanza? Click to expand... ni 650,000/ kwa sasa imepanda so inaweza cheza 700,000/ na visent kadhaa! Nadhani kwa hiyo laki saba tutakutana baa siku moja!
I Iddimarisa Member Joined Jul 12, 2013 Posts 29 Reaction score 4 Oct 15, 2015 #23 Abtali mwerevu said: ni 650,000/ kwa sasa imepanda so inaweza cheza 700,000/ na visent kadhaa! Nadhani kwa hiyo laki saba tutakutana baa siku moja! Click to expand... eti kaka wapi kuna gharama sana kati ya ; kukaa hostel ununue milo yote au kupanga geto upike..?
Abtali mwerevu said: ni 650,000/ kwa sasa imepanda so inaweza cheza 700,000/ na visent kadhaa! Nadhani kwa hiyo laki saba tutakutana baa siku moja! Click to expand... eti kaka wapi kuna gharama sana kati ya ; kukaa hostel ununue milo yote au kupanga geto upike..?
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Oct 15, 2015 #24 Iddimarisa said: eti kaka wapi kuna gharama sana kati ya ; kukaa hostel ununue milo yote au kupanga geto upike..? Click to expand... gheto maisha rahis sana, unakula unachotaka na unashiba siyo tumisosi twa cafteria tule!!
Iddimarisa said: eti kaka wapi kuna gharama sana kati ya ; kukaa hostel ununue milo yote au kupanga geto upike..? Click to expand... gheto maisha rahis sana, unakula unachotaka na unashiba siyo tumisosi twa cafteria tule!!
I Iddimarisa Member Joined Jul 12, 2013 Posts 29 Reaction score 4 Oct 15, 2015 #25 tindikalikali said: gheto maisha rahis sana, unakula unachotaka na unashiba siyo tumisosi twa cafteria tule!! Click to expand... hostel iyo laki 1 ni kwa miezi mingapi....?
tindikalikali said: gheto maisha rahis sana, unakula unachotaka na unashiba siyo tumisosi twa cafteria tule!! Click to expand... hostel iyo laki 1 ni kwa miezi mingapi....?
maisha na pesa Member Joined Jul 29, 2014 Posts 55 Reaction score 33 Oct 15, 2015 #26 Kuna jamaa pale conas anaitwa gamba sitamsahau ni katili balaa sijui bado yupo....!?
L Le Professier Member Joined Oct 6, 2015 Posts 86 Reaction score 13 Oct 15, 2015 #27 maisha na pesa said: Kuna jamaa pale conas anaitwa gamba sitamsahau ni katili balaa sijui bado yupo....!? Click to expand... Kwani kuna mtu amekuuliza..?
maisha na pesa said: Kuna jamaa pale conas anaitwa gamba sitamsahau ni katili balaa sijui bado yupo....!? Click to expand... Kwani kuna mtu amekuuliza..?
prospilla JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 1,150 Reaction score 1,716 Oct 15, 2015 #28 hivi semista ni miezi mingapi wakuu?
Y yumoki JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 284 Reaction score 133 Oct 16, 2015 #29 prospilla said: hivi semista ni miezi mingapi wakuu? Click to expand... minne tu semista inakata