RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,858
Fuata maelekezo chuoni,mbona vijana mnakua wavivu.Sio kila kitu lazima muulize humu.
Habari wakuu, nimechaguliwa UDSM, na nimeona kozi yangu ipo kwenye collage ya CONAS, sasa naomba kwa anayejua atufahamishe changamoto za udsm, vp garama kama hostel zikoje, huduma ya maji na chakula vikoje chuoni apo, na utaratibu gan unatumiwa kupanga wanafunzi katka hostel za mabibo na main campus? na anaye jua garama za registration uchukua kam TSH. NGAPI, wakuu msaada tafadhari
karibu sana pale College of natural and applied science (conas) kuhusu hostel usiwaze first year lazma upate chumba mabibo au campus ukifika tu chuo utakuta jina na room namba yako ,msosi kwa udsm ni bei ya kawaida kuhusu ada inategemea na mkopo umepata kiasi gani. karibu sana udsm by alumni
karibu sana pale College of natural and applied science (conas) kuhusu hostel usiwaze first year lazma upate chumba mabibo au campus ukifika tu chuo utakuta jina na room namba yako ,msosi kwa udsm ni bei ya kawaida kuhusu ada inategemea na mkopo umepata kiasi gani. karibu sana udsm by alumni
Jiandae na msuli wa nguvu hapo conas usharo wote acha mtaani andaa kama laki tatu direct cost kama 80000 ila kama una kadi ya bima ya afya hutalipa 54000 ya afya kutoka kweny hyo direct cost kuhusu hostel mabibo sh. 76000 main campus 100000
VP kozi ya botany INA solo ktk ajira!Jiandae na msuli wa nguvu hapo conas usharo wote acha mtaani andaa kama laki tatu direct cost kama 80000 ila kama una kadi ya bima ya afya hutalipa 54000 ya afya kutoka kweny hyo direct cost kuhusu hostel mabibo sh. 76000 main campus 100000
VP kozi ya botany INA solo ktk ajira!
Jamani nauliza iv ni kweli kuwa udsm ndio chuo mwazo kwa wanafunzi kutiliwa mikopo
Kijana kama umechaguliwa conas kasome sana aisee,pale wana departmental GPA,so ucje ukaenda kujilinganisha na wenzio wa coss au udbs mkaenda kushnda pale TBS kushangaa wanawake.
Duu kwan TBS kuna wanawake mkuu!
ndo njia yao ya kwenda cafeteria,library,utawala,yombo na theater.kwa kifupi pale ndo njiapanda.