Wale wa UDOM

Wale wa UDOM

Inaweza kuwa ya tatu au ya nne, kuna jamaa yangu yuko mwaka wa 3 aliingia 2010

chuo kimeanza 2007 sa piga hesabu utapata jibu mi niliingia 2008 na nilikuwa intake ya pili
 
Wadau, wakati website ya udom inatoa list ya wa2 waliokuwa admitted, me jina langu sikuliona, bt tcu walivyo release nimepangiwa udom computer engineering, sasa apo imekaaje? Au nimeachwa hewani?
 
Wadau, wakati website ya udom inatoa list ya wa2 waliokuwa admitted, me jina langu sikuliona, bt tcu walivyo release nimepangiwa udom computer engineering, sasa apo imekaaje? Au nimeachwa hewani?

Ile list ilikuwa ni first so it means kuna nyingine itakuja
 
Mambo yameanza kuwiva jamani hebu piteni HAPA kuna taarifa juu ya siku ya kufungua chui ambayo na September 30th, nikipata time nta post full information.
 
MKIISHIWA BUMU mni-PM ntawatoa kimtindo wana wa udom!,
mi niko napiga mzigo CRDB tawi jipya kama unaenda General Hospital.
 
kuna viumoja mfano kule facebuk kuna udom facebookers, udom chember, kwa wale wa scnc kuna k2 knaitwa hi collage ipo kama face buk wameitegeneza watt wa informtcs
pia ipo hii moja inaitwa Udom Lawyers Group utaipt facebuk,kwa wale mliochaguliwa ktk kozi ya Legal Professional mnakaribishwa kujoin nasi km una lolote unatk kujua kuhusu udom na kozi mbalimbali hususan LL.B.ama Sheria,hapa ndio sehemu husika.Hongereni nyooooooote mliochaguliwa chuo kikuu kikubwa afrika mashariki na kati.Nawakaribisha nyote.
 
Daaaaa!!! this is unfair Wale wa Bsc. in Mining Engineering Tuko mtu 45, 43Males and only 2 females this is UNFAIR!!!!!!
 
tunawakaribisha, cha mcng njo na pocket money ya kutosha, boom huwa ni unpredictable.
 
Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaffffffffffffffffff sana inapndeza wale wa PSPA ndani ya UDOM 2juane jaman
 
Back
Top Bottom