Wale wa TRA mkeka upo hewani

Wale wa TRA mkeka upo hewani

Mwanza sales

Senior Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
193
Reaction score
87
Tembeleeni email zenu, majibu yametumwa, niwatakie kila la heri
_20230916_084212.JPG
 
Kuna mtu ako na GPA ya 4 lakini jina halijatoka shortlisted

Lakini wenye lower second majina yametokea kwenye shortlisted,

Hii inaingiaje akilini?
Ndugu inawezekana ume-graduate karibuni, kama sivyo basi uzoefu wako ni mdogo sana. Ukiachana na kazi za ukufunzi pengine na utafiti, hakuna sehemu GPA inazingatiwa kama kigezo cha mtu kupewa kazi.
 
In the first place ukiwa bado hujawa interview kigezo kikubwa cha kuchuja upate shortlisted ni GPA miongoni mwa waombaji.

Mwenye GPA kubwa anapaswa kupewa kipaombele when other things remain constant.

Huwezi kumuacha kwenye shortlisted mwenye first class ukamuweka Mwenyezi second class kwa sababu gani ya msingi Kwa mfano?

Haingii akilini hata kidogo.
 
Unataka kusema mtu mwenye gpa ya first class na mwenye experience miaka 5 na lower class watakua sawa??!!
 
Back
Top Bottom