Wale wa serikali moja.....

Wale wa serikali moja.....

Serikali moja mmeambiwa ni kitu chakufikirika(utopia) siyo uhalisia bado mnaitaka tu?!.
 
Hivi kuna yeyote mwingine kama mimi anayetaka serikali kuu moja tu?

Yaani ni serikali moja tu, la sivyo muungano unakufa.

Manake ninaowasikia wengi wao ni ama serikali mbili au tatu.

Wa serikali moja wako wapi?

Mkuu watu wanaotaka serikali moja walikuwa wengi(hapo kabla) na hata sasa wako wengi sana wanaoitaka(kimoyomoyo) ila jambo hili haliwezekani kwa mchakato huu wa sasa ulipofikia unless wakati ule wabunge wangerekebisha sheria ya mabadiliko ya katiba maana Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ilitoa misingi mikuu ya kuzingatiwa na tume ya jaji Warioba katika utendaji kazi yao kuanzia ukusanyaji maoni, baadhi ya misingi ya kuzingatiwa ni uwepo wa muungano, mahakama, serikali, bunge, serikali ya mapinduzi ya zanzibar nk sasa hili la mwisho hapo(kuzingatiwa kwa uwepo wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar) ndiyo linapingana na mfumo wa muungano wa serikali moja maana kwa mfumo huu zanzibar itakuwa haipo(ukiukwaji wa sheria ya mabadiliko ya katiba), ndiyo maana waliopendekeza mfumo wa muungano wa serikali moja wakawa wachache(13%) wengi walibadili msimamo huo kwa kugundua kwamba unapingana na sheria na hivyo maoni yao hayatafanyiwa kazi na tume ikabidi wabadili msimamo kuongeza nguvu kwenye muundo wa muungano wa serikali tatu mpaka kuwa wengi sana(61%) kuliko waliopendekeza mifumo mingine ila kama sheria zingekuwa hazibani kwenye mfumo basi wengi wangeweza hata kupendekeza kuvunjwa kwa muungano
 
TANU +ASP = ccm ; TANGANYIKA + ZANZIBAR = TANZANIA. Sasa kama CCM= 1 kwanini TANZANIA= 2or 3 na sio 1 ? Hawa magamba logic yao haieleweki kwa kutetea serikali mbili; walitakiwa watetee serikali moja that would have made sense and they would be consistent!!!
 
Nyani Ngabu mimi binafsi ni muumini wa serikali moja lakini kinachosababisha mjadala kuwa wa serikali mbili au tatu ni kutokana na msimamo wa chama tawala juu ya serikali mbili ambayo ni sera yao rasmi sambamba na vyama vikuu vya upinzani kusimamia serikali tatu.Zimekosekana taasisi zenye ushawishi ili kuibua mjadala wa serikali moja.

Lakini kuna baadhi ya vitu kuhusu serikali moja ni dhahiri haitekelezeki kwa mfano Wazanzibar wanataka serikali yao yenye mamlaka kamili kama nchi hili ni gumu kulibadili kwa hapa tulipofikia.Watanganyika ni rahisi kuwashawishi kukubali serikali moja lakini si Wazanzibar hivyo kupona kwa muungano ni kuwa na mfumo au muundo ambao hautawameza.

Fact ya ugumu wa kuwashawishi Wazanzibar kukubali serikali moja ndio inayonifanya binafsi kukubali option ya serikali tatu kama ilivyopendekezwa na tume badala ya hiki kiini macho cha serikali mbili ambacho hata kama imedumu kwa miaka 50 lakini ilipofikia hatuwezi kujidanganya tutakwenda tena miaka mingine 50 kwa mfumo huu huu tukabaki salama.
 
Last edited by a moderator:
Ili kuwepo na serikali moja, ni lazima serikali hiyo iitwe "Serikali ya Mapinduzi Zanzibar". Yaani katiba ya muungano au ile ya Zanzibar zibadilishwe ili kuongeza scope ya utawala za Zanzibar mpaka huku Tanganyika. Watanganyika tutakubali?

Nje ya hapo, ni jambo lisilowezekana kwa sheria za sasa kuwa na serikali moja.
 
Nyani Ngabu mimi binafsi ni muumini wa serikali moja lakini kinachosababisha mjadala kuwa wa serikali mbili au tatu ni kutokana na msimamo wa chama tawala juu ya serikali mbili ambayo ni sera yao rasmi sambamba na vyama vikuu vya upinzani kusimamia serikali tatu.Zimekosekana taasisi zenye ushawishi ili kuibua mjadala wa serikali moja.

Lakini kuna baadhi ya vitu kuhusu serikali moja ni dhahiri haitekelezeki kwa mfano Wazanzibar wanataka serikali yao yenye mamlaka kamili kama nchi hili ni gumu kulibadili kwa hapa tulipofikia.Watanganyika ni rahisi kuwashawishi kukubali serikali moja lakini si Wazanzibar hivyo kupona kwa muungano ni kuwa na mfumo au muundo ambao hautawameza.

Fact ya ugumu wa kuwashawishi Wazanzibar kukubali serikali moja ndio inayonifanya binafsi kukubali option ya serikali tatu kama ilivyopendekezwa na tume badala ya hiki kiini macho cha serikali mbili ambacho hata kama imedumu kwa miaka 50 lakini ilipofikia hatuwezi kujidanganya tutakwenda tena miaka mingine 50 kwa mfumo huu huu tukabaki salama.

Umeelezea vema kabisa!! Tatizo lilipo ni double coinidance wants, na ufumbuzi wake ni serikali tatu!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna yeyote mwingine kama mimi anayetaka serikali kuu moja tu?

Yaani ni serikali moja tu, la sivyo muungano unakufa.

Manake ninaowasikia wengi wao ni ama serikali mbili au tatu.

Wa serikali moja wako wapi?

Naunga mkono hoja
 
WAASISI WALITUACHIA MUUNGANO WA NCHI MOJA YENYE SERIKALI 2NA SIYO NCHI MBILI ZENYE SERIKALI 2....................:tape::tape:BY JUSTICE WARIOBA HAYA UNA LINGINE
 
Tatizo ma ccm bara kuogopa kuwaambia wazanzibar juu ya serikali moja
 
Back
Top Bottom