Wale wa serikali moja.....

Wale wa serikali moja.....

Hapana, serikali kuu iliyopendekezwa na wengi ndio moja, hii itakuwa na mamlaka katika mambo machache yanatakayoanishwa. Hakutakuwa na serikali kuu nyingi nyingi na waliopendekeza serikali kuu moja si wachache.

Duh! Uko sahihi Nd. Anheuser! Uko sahihi kuwa serikali kuu iliyopendekezwa na wengi ndio moja, hii itakuwa na mamlaka katika mambo machache yanatakayoanishwa. Hakutakuwa na serikali kuu nyingi nyingi na waliopendekeza serikali kuu moja si wachache. Sawa?
 
Hivi kuna yeyote mwingine kama mimi anayetaka serikali kuu moja tu?

Yaani ni serikali moja tu, la sivyo muungano unakufa.

Manake ninaowasikia wengi wao ni ama serikali mbili au tatu.

Wa serikali moja wako wapi?

Mkuu vunja muungano. Tukipata Tanganyika, tunaanza mjadala wa serikali za majimbo yenye nguvu na kuipunguzia madaraka serikali kuu.
 
Back
Top Bottom