Kwa wale wenye hamu ya kumiliki OPO aka "never settle" aka flagship killer naona wamefungua dirisha la kuagiza bila invitation version ya 64gb kwa dolari 349 tu na dirisha la kuagiza litafunguliwa tar 27/10 saa 6-7 mchana kwa saa za afrika mashariki
Ila hawasafirishi kuleta huku kwa hiyo inabidi uwe na mtu maeneo wanayoweza kuship ili yeye ndio akutumie........
"Never settle".
Safi, walijilostisha wenyewe na invite system yao. Ingawa tatizo pengine lilikuwa ni kushindwa kutengeneza mzigo kutosha. Hata kwa invite hiyo ndo bei yake. Ni simu nzuri, ina specs za flagship, so pengine na yenyewe ni flagship tu

ni flagship ndio sababu hawana nyengine kubwa zaidi ya hio ila sd 805 imetoka hivyo oem wanapotoa simu mpya za zamani zinashuka bei hivyo inakuwa sio simu special tena