Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Kwa Muro = maamkizi ya chai na maandazi!!Hebu wanandugu wale waliosoma pale Old Moshi (Moshi sec) tujikumbushe maeneo kama Rau, Madukani, KCMC kwa Mama Recho, Mwl Boxer, Mama Kalambo, Mjomba Paka (RIP). Form six asiyemaliza (Uisso) Mwl Asseri, Mwl Roy. Kimaro mbao na wengineo........................
Tupo mbona hujakumbushia kwa bubu mpika donati na kule BP au bomba place
Na mademu wa Shule ya Kibosho Girls' mliokuwa mnawafukuzia...........:becky::becky::becky:
Kwa mama mdogo kule nyuma ya shengena,
Mama asha, mama recho..nasikia Recho alishavuta (RIP)
Na mademu wa Shule ya Kibosho Girls' mliokuwa mnawafukuzia...........:becky::becky::becky:
JS mademu walikuwa wanatuzimikia wao....si unajua tena Old Moshi title
Kwa mama mdogo kule nyuma ya shengena,
Mama asha, mama recho..nasikia Recho alishavuta (RIP)