neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 376
- 355
za asubuhi wakuu nimewapigia office ya adimission asubuhi hii wamesema bado wanasubiri majina mengine kutoka kwenye college husika ila hawana jibu la mojamoja kama watatoa round nyingine au la hivyo baadae nitawapigia kujua hatima yetu hivyo tumuombe mungu sana
mkuu nacte walikuselect coz gani hapo udsm??
Mkuu vp uliwapgia tena?...nshachaganyikiwa kabsaa..mkopo umesoma but confirmation from udsm from udsm!!!!????...yaan daa!!
Yaan umepata mkopo bila chuo kukucomfirm...?
Mkuu ndo hivyo....sasa celew kuna mchezo gani aiseeeeee!!!
Hongera sana
Kwa kozi gan and chuo uwaendee kwa babu wasikukate
Mkuu vp uliwapgia tena?...nshachaganyikiwa kabsaa..mkopo umesoma but confirmation from udsm from udsm!!!!????...yaan daa!!
yaniliwapigia tuombe mungu kesho wamaweza wakatoa round nyingine ila kama tutakuwepo au la mungu ndiyo anayejua
Poa mkuu...thanx 4 updates...mungu ndiye mweza wa yote!!...mkuu ulichaguliwa kozi gan?
molecular biology and biotechnology
Mtupe feed back uliofatilia hili swala uds
m na nacte