Wale wa mzumbe mpo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wa mzumbe mpo!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by WamLola, Sep 24, 2012.

 1. WamLola

  WamLola JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  jamani wale mu vp mpango wa makazi vyumba vikoje huko ss tusojua mazingira ya huko mtujuze wakubwa nimeona hosteli walizotuandikia ziko bei ya juu sana.:rockon:
   
 2. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unakwenda kuchukua nini? yaani program gani huko?
   
 3. G

  Georeez Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vyumba ujanja kuwah dogo ukitaka kupata in campus cku ya kwanza ya registration uwe chuo ukiwa umelipa kila ki2 huna deni hata senti otherwz outside rmz r much xpensiv na most low quality those wit standard vko mbal frm chuo?
   
 4. Siraj

  Siraj Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfano nikifika mchana hapo mu cku ya kwanza ntapata chumba
   
 5. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  nasikia ambao wanapewa kipaumbele ni wale waliochaguliwa from TCU ni kweli hayo.
   
 6. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Njoo mapema ufanye payements then upige mishe upate room ndo urudi home hadi hapo mda wa kuja kuanza masomo utakapofika
   
 7. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  xaxa mdau wameshaanza kulipia hivyo vyumba au.
   
 8. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  nenda kwenye web ya chuo kwenye info about fee structure wamesema utalipia chumba mpk utakapo pewa chumba
   
 9. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  asante...Mkuuuu.
   
 10. G

  Georeez Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  c kwel any1 anaweza kupata rum az lng az umewah mapema!
   
 11. N

  Nyabisi New Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa ushauri wenu guys n better kupata rum in au ouside ?
   
 12. F

  Flame Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo nlivosikia...kipaumbele ni wale waliochaguliwa na TCU
   
 13. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kama utamudu outside gharama zao kakae tu.Kama mwenzangu na sie tubanane ndani.
   
 14. S

  Sage B Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hey Wanamzumbe can a first year mic a room
   
 15. G

  Georeez Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani from the Currently updates nilizozipata from chuo ni kuwa utaratibu wa ugawaji rum za ndani ya chuo hautakuwa kama miaka ya nyuma..!!1st masters students hawatapewa rum kabisa,na all students who rnt admited by TCU including those who will be taking Certificate,Diploma and Mature entry will not be considered in rums za ndani ya chuo....!!Hii ni kutokana na uchache wa hostel za ndani ya chuo na idadi kubwa ya wanafunzi wanaoletwa na TCU.
   
 16. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa!
   
 17. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
   
 18. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hosteli za nje ni gharama kweli kama wewe nimtoto wa mkulima huziwez!! kwa hiyo jipange kukaa ndani tu!
   
 19. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  DUUUUUUUUU.....ebhna kweli kupata..Hosteli za Ndani Kama ww ni Private Kazi Ipo???????????
   
 20. Siraj

  Siraj Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa mu nao cwaelewi wameandika ukipata chumba ndo ulipie wakat kwenye join wameandika utakapoonyesha pay in slip hapo hapo utapewa room xo utasecure room vipi without paying first? Na wameongeza idadi ya wanafunz tena nimeona majina kwenye web yao.........af kwenye join wamesema kulipa mwisho ni tar30 wa tisa ambayo ishapita xo inakuwaje hapo kama bado hujalipa?
   
Loading...