Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 16,101 Reaction score 24,358 Apr 23, 2019 #21 Kamanda Moshi said: Mpande yupo hai pale moshi mjini...alipata ajali kipind flan but yu hai. ..amefariki Mwalimu Athuman aliyekuwa akifundisha MV. Click to expand... asante na pole nlifikiri alifariki, Mpande alikuwa mbabe sana alafu alikuwa anachapa madem wa kisukuma kipindi hicho wanakuja washamba washamba. mwlim mhina alikuwa na baikseli yake sitosahau aisee.
Kamanda Moshi said: Mpande yupo hai pale moshi mjini...alipata ajali kipind flan but yu hai. ..amefariki Mwalimu Athuman aliyekuwa akifundisha MV. Click to expand... asante na pole nlifikiri alifariki, Mpande alikuwa mbabe sana alafu alikuwa anachapa madem wa kisukuma kipindi hicho wanakuja washamba washamba. mwlim mhina alikuwa na baikseli yake sitosahau aisee.
Hongoa PJ Senior Member Joined Aug 23, 2014 Posts 179 Reaction score 58 Apr 25, 2019 #22 Hahahahaha Nakumbuka Pindi la Engineering Science Koba anakuambia tunafukia mashimo na kukimbia kwa speed ya supersonic.
Hahahahaha Nakumbuka Pindi la Engineering Science Koba anakuambia tunafukia mashimo na kukimbia kwa speed ya supersonic.