Wale wa moro tupeni bei za mashamba huko

marandu2010

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
1,199
435
Salamu zenu wakuu.

Mashamba ni mali inayopanda thamani siku zote,,hebu watu wa moro (mji kasoro bahari) tupeni information kuhusu bei ya ardhi huko,,ili wale wenye kitu kidogo watumie fursa hii kuimiliki nchi..na i weze kutumika kuliko kuwa idle..


Natanguliza shukurani zangu.
 
Nilinunua kipande mitaa ya Kingorwila 2007 ilikuwa Laki 3 kwa ekari... ila ilishaanza kupanda.... wakikuona mjomba mjomba wanakubambika!!:eyeroll2:
 
Back
Top Bottom