Wale wa MOCU tujuzane kinachoendelea


Deucalion

Deucalion

Member
Joined
Oct 7, 2017
Messages
85
Likes
21
Points
35
Deucalion

Deucalion

Member
Joined Oct 7, 2017
85 21 35
Mliochaguliwa MOCU jamani..any updates kama kuna hizo admission letters au anything kuhusiana na kwenda ku report chuo. Updates please
 
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
5,966
Likes
3,461
Points
280
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
5,966 3,461 280
nimeona joining instruction.
Download hizo hizo na kuzijaza. Kuna medical form pia zijazwe na daktari wa kueleweka. Lipa ada na malipo mengine kama fee structure inavyoeleza. Leo ni reporting day! Kuna jamaa yangu ameenda hapo pia. Mambo mengine utayajua ukiripoti!
 
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
5,966
Likes
3,461
Points
280
M

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
5,966 3,461 280
Wakuu nlikuwa nauliza ada inalipajwe. kwa instalment au yote kwa mkupuo ya mwaka.
kwa chuo kama Mocu!
Unaruhusiwa kulipa kwa awamu 2 kwa upande wa tuition fees tu. Vingine vyote vinalipwa kwa mkupuo mmoja.
 
M

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Messages
515
Likes
458
Points
80
M

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2010
515 458 80
Mocu patamu sana full watoto wazuri, ngoja nikachukue joinibg instruction
 
M

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Messages
515
Likes
458
Points
80
M

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2010
515 458 80
Mocu patamu sana full watoto wazuri, ngoja nikachukue joinibg instruction
 
B

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Messages
271
Likes
40
Points
45
B

bonem

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2015
271 40 45
wapendwa wanajukwaa, baada ya kufungua chuo na kujiregister hasa kwa sisi first year, ningependa kuuliza kwa faida ya wengi. kipi kinaendelea? mimi naishia nje ya chuo na labda wapo ambao hawajaripoti, ni vema tupeane updates juu ya oruentation ni lini, na kuanza class ni lini. wasalaaaam
 

Forum statistics

Threads 1,213,501
Members 462,160
Posts 28,480,177