wale wa mkopo ntawapa ushaur wa mawazo kama unataka

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
amin kila kit kinawezekana jamii forum mimi pia nilikosaga ila bum nlipata na xaxa niko mwaka wa 3 naish vizur tu,kama una tatizo ilo tshauriane
 
Mtaalam mimi nataka unishauri kitu moja, hizi pesa unapo pewa za stationary hua ni lazima ununue stationaries gani?? pia nawezaje jua kua nimepata % kadhaa mimi Loan Amount yangu ni Tsh.4,502,500/= na ada ni Tsh.1,500,000/=.
nakusubiri mtaalam mwenzangu
 
Back
Top Bottom