Wale wa Meru Arusha walimu wapya piteni hapa

ms babysitter

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
55
Reaction score
5
Hivi na kesho wakituzingua tena kuhusu kutupangia vituo vya kazi tufanyeje? Maana unaweza kushangaa hiyo kesho wakaonekana mida ya saa kumi na kuanza kutupa story kama kawaida yao.

Mbona wenzetu wameshapewa vituo vya Kazi japo ni kweli hawajapewa pesa za kujikimu? Sasa wao wamekalia kusingizia eti hawana hela za mafuta ya gari za kutusambazia vituoni

Walimu wenzangu kesho tusikubali kudanganyika tena kama watoto wadogo we need to fight for our rights.
 
Kesho hakuna kutoka halmashauri ikifika mida ya saa 4 kama hakuna update tujikusanye pale geto ukumbuni tulianzishe
 
Hivi wale waliopangiwa masomo yasiyofundishwa sekondary kama Psychology na ICT itakuaje au huwa wanafanyaje unapelekwa wapi
 
Acheni mbwembwe nyie
 
Tuunganeni kudai haki zetuu huu ni uongo mtupu halmashauri hakuna pesa zimekwenda wapi?? Waongo tuu tumechoka na ngonjera zao!! Kila kitu hufanywa kidhararu dharu tokea tar27 April walishaona majina ya walimu bdo wanasubiri nini wakishindwa oficn waondoke zao!!
 
Acheni mbwembwe nyie

Sio mbwebwe Uda tumechoshwa na halmashauri ya Meru kina Mkolokoti kila Siku wanatupiga siasa zisizo na kichwa wala miguu
 
Last edited by a moderator:
matafuta mwl wa kubadlishana nae kituo kutoka arumeru aje handeni idara msingi, thanks t
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…