wale wa linux na open source os ya jolla saifish inazinduliwa leo

wale wa linux na open source os ya jolla saifish inazinduliwa leo

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,279
Reaction score
44,416
Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya simu hii ni event ambayo hutakiwi kukosa jolla wanatoa os yao ambayo ni open source

Hawa jamaa ndo wagunduzi wa vitu vingi kwa simu kama simu isio na button, double tap to awake, lightiest os, os inayoemulate os wenzake, walifanya mambo haya wakiwa na meego.

Livestream kama una bundle

Jolla - Love Day - I Am the Other Half

Muda ni saa 1 na nusu usiku


jamaa naona wamenza ku tease simu yao itakuwa hivi

Screen-Shot-2013-05-20-at-10.34.37-600x356.jpg


Screen-Shot-2013-05-20-at-10.34.25-600x272.jpg


inavyoonekana kama itakua na keyboard
processor dual core
screen 4.5
camera 8mp
bei laki 8 na nusu

wait tusubirie uzinduzi
 
ila bei! Sjachek live event!! But from what i heard hii itakua na uwezo wa ku install androids apps!! Pia sailfish itakuwepo kwenye pc na tablets piaaaa!! Ts good news.... I hope nokia watumie hii os!!
 
Back
Top Bottom