Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,275
- 44,411
Hebu leo tuachaneni na android, ios, symbian na windows phone tumwangalie mrembo mpya kigoli firefox os ambaye ni os mpya ya simu itayoingia sokoni mwanzoni mwa mwaka 2013.
NI NANI FIREFOX OS?
hii ni operating ya simu ambayo imetengenezwa na mozilla jamaa wale wale wenye ile browser project yao wanaiita boot 2 gecko (b2g) yaani wanatumia linux kernel kuiboot kwenye gecko runtime ili kumuwezesha mtumiaji kuweza kudevelop web based app.
Kifupi naweza sema ni os itakayotumia lugha za kutengenezea website kama html na javascript lugha rahisi kabisa ambazo hata watanzania watadevelop apps.
KWANINI LAKINI FIREFOX OS?
tayari tuna android, asha, s40, meego, symbian,jolla, ios, rim na wengine kibao why firefox na wewe unatuletea confusion? Majibu yanakuja chini ni sababu mbili tu kuu.
kupunguza gape kwenye soko la simu
unakumbuka simu za zamani? Kama nokia 2626 ambazo zina phone memory mb 3? Zile simu zina poor specs but still zinarun javascript na html smoothly.
Hii ina maana firefox os itakupa kitu ambacho galaxy s3 inakupa kwenye simu hata yenye specs za feature phone. Sasa hv kama unataka simu yenye mambo mengi ya ukweli lazima ikutoke milion moja lakini kwa firefox os maybe laki 3 inatosha.
kuna jamaa anafanya kazi kwenye firefox os ambaye ndio nimechukua vitu vingi wakati naandika hii thread anasema os yao wanaitest kwenye simu inayocost pound 50 same game inayorun kwenye flagship inarun hapa. Pound 50 ni 125,000 ya kibongo je huta afford?
sababu ya pili ni kua na alternative kwenye open os
kama mnavojua open os ya bure sasa hv ni android but ni nzito sana ikikaa kwenye galaxy pocket ukaeka kasoft kakubwa kubwa kidogo kitu kinaeza lag hadi basi.
so tutegemee os nyengine ambayo ni open na rahisi hadi mimi na wewe tukikomaa kidogo tunaweza kua wafaidikaji kwa urahisi wake.
tukitoa sababu kuu kuna sababu nyengine minor kama
-hackable device. Kuhack symbian au android kueka custom rom midude dude yote hiyo ni migumu sana kiasi mtu wa kawaida hawezi fanya bila tutorial za kufa mtu tena ukikosea unaambiwa utaharibu simu. Imagine sasa kitu kinakuja kwa html au javascript itakua very easy na mpaka mozilla wenyewe kuadress kitu hiki vitu vingi vitakua bure.
-sio simu tu inayokubali hii os hadi computer inakubali hauinstall kama os bali inakua adds on ya mozilla so unaopen mozilla browser unainstall hii addons then unapata experience ya hii os. Kwa sasa kuna developer mode ya kutest apps lakini still mtu wa kawaida pia anaweza enjoy kama una mozilla browser itest link nimeeka chini sema ina kama mb 60
http://https://addons.mozilla.org/en-US/firefox/addon/firefox-os-simulator
webmaster wa tanzania huu ndo wakati wa kutoka na firefox jaribuni kutengeneza apps zenu 2013 sio mbali.

bonnie-cha said:The goal of Firefox OS isn't to compete with high-
end devices, but to offer entry- to mid-level
smartphones at feature phone prices
kuna jamaa anafanya kazi kwenye firefox os ambaye ndio nimechukua vitu vingi wakati naandika hii thread anasema os yao wanaitest kwenye simu inayocost pound 50 same game inayorun kwenye flagship inarun hapa. Pound 50 ni 125,000 ya kibongo je huta afford?
sababu ya pili ni kua na alternative kwenye open os
kama mnavojua open os ya bure sasa hv ni android but ni nzito sana ikikaa kwenye galaxy pocket ukaeka kasoft kakubwa kubwa kidogo kitu kinaeza lag hadi basi.
thomas-claburn said:This time, it's the mobile Web that's threatened,
not by Microsoft but by Apple and Google, the
leading smartphone platforms. With their native
apps, locked-down platforms, proprietary software
stores, and capricious developer rules, Apple and
Google are making Web technology less relevant.