Huwezi pata "eMPUTA" ya hivi! Ilikuwa miaka ya 80s-90s. Uwekezaji viwanda vya samaki umezimaliza
we acha tu, hiyo ikichanganywa na ndizi (entobe) na maharage kidogo bila kusahau 'entura' pembeni......, unakumbusha mbali mzee..Huwezi pata "eMPUTA" ya hivi! Ilikuwa miaka ya 80s-90s. Uwekezaji viwanda vya samaki umezimaliza
Wapo kabisa hawa mpaka mwenye kilo7View attachment 102790
Mboga ya Mwezi mzima hiyo bajeti hapa ni viungo tu.
Huwezi pata "eMPUTA" ya hivi! Ilikuwa miaka ya 80s-90s. Uwekezaji viwanda vya samaki umezimaliza
View attachment 102790
mboga ya mwezi mzima hiyo bajeti hapa ni viungo tu.
Waitu Mushanage...!
"Waitu ninkeisha abashonga"
Walikuwa wanapatikana sana wakati wa 'EKIFEREEZI'
we acha tu, hiyo ikichanganywa na ndizi (entobe) na maharage kidogo bila kusahau 'entura' pembeni......, unakumbusha mbali mzee..
Waitu Mushanage...!