kun watu nwfhmu uko majuu wana uwezo kuanzia upstair wa kusoma harvard,oxford lakini wanasoma college za kinaijeria.......ukiamua mtoto asome shule za msondo atasoma ISM ISM ni aibu weusi wachache........mpaka sasa hivi huu utamaduni unaendelea.....weusi wanapaogopa.....BACK to the topic..Unajua mkuu..baada ya kufika nilipo..ndo nimegundua wengi tunakosa maendeleo partly kwa sababu ya kutokuwa na information sahihi. Personally IST nilijua ni shule za Vibopa tuu..sisi watoto wa wakulima haturuhusiwi hata kukatiza getini..lakini it seems kuna uwezekano wa mtu kupata chance/scholarship on merit (you can shade more info. on this). Same applies..hata vyuo vya maana nje..wengi wanaogopa kuomba kwa sababu ya woga kwamba hawatachukuliwa..kumbe ukihangaika..some one might see your grades and take you onboard.
kun watu nwfhmu uko majuu wana uwezo kuanzia upstair wa kusoma harvard,oxford lakini wanasoma college za kinaijeria.......ukiamua mtoto asome shule za msondo atasoma ISM ISM ni aibu weusi wachache........mpaka sasa hivi huu utamaduni unaendelea.....weusi wanapaogopa.....
wengi wetu hapa JFtumesoma mbagala kwenye ile shule isiyo kuwa na madawati.mpemba sidhani kama umesoma IST.......acha niwatafute mate wangu.....
.....lol ina maana JF woote mmesoma shule za msondo?
no no no ile shule mbona haichagui.....mbona nimesoma na watu tofauti tofauti.....wakuu ina maana niko alone mwana IST?
I was an IST student from Kindergarten and graduated in 1999 after completing IB 2 and was there from 1985 - 1999.
Fardosa Hassan, This dada wakisomali nilimuona mjini siku moja amekua limama hata sikumfahamu tena, Luckly yeye alinifahamu.
Al-Junaid Hasham
Jonathan Airey
Sabrina Bandali
Stijn Broecke
Miten Davda
Amreen Dinani.
Fayaz Jaffer
Anwar Jessa
Riyaz Jessa
Asha Juma
Khalid Kabir
Amar Kanabar
Salina Karim
Na wale bishoo wa Nigeria wanaoishi msasani, wanachonga mapanki kila siku kama gardener.
After IST I moved to the States where I spent 7 years. In 2006 I moved back to Dar, and I'm now working in the Netherlands.
Mbona miaka mingi?1979-2000 katiika kati ya miaka hiyo.......
after all kusoma IST sio ujiko sana naona kawaida sawa na aliesoma Dole secondary...
Yaani Darwin umetukimbizia YoYo jamani, usingekuwepo angetupiga fix hapa balaa, kabisa instinct zangu zinaniambia YoYo ni Mwakaleli Alumni...LMAO
Ha ha ha..Kweli mazee..naona Yo yO kaikimbia thread baada ya alumni wa ukweli kujitokeza.. Watu wengine bana..wanapenda sana misifa isiyo na kichwa wala miguu..!
Hahaha, sijui kaenda wapi.
KWENYE hii thread kuna INPUT yeyote...?
Kama hamna INPUT itabidi MODS muiwasilishe hii thread kunakohusika..kule Jokes/Utani/Ushambenga