Wale wa Ijumaa Mpo?

Wale wa Ijumaa Mpo?

Oraiti...ngoja nijizoe zoe basi nikuje hizo pande kabla jua halishuka

Poa watu8 unikujie ba Biscuits za Eatsome more. Leo sijuisikii kunywa local beer na sina enough money za kunywa heinken.
 
vivian nimetamani sana hiyo mbuzi choma na ndizi,
nimemeza mate kama mtoto mdogo, looooh.

Weekend hii naona kama kaizari kanitunishia misuli
ni kama sitapumua fulani hivi.

Nawatakia heri wote watakaopata muda wa kupumzika,
.................. enjoy..........
 
Last edited by a moderator:

Mamndenyi usijali tupo pamoja. nitakuwekea kiasi
 
Last edited by a moderator:
Poa watu8 unikujie ba Biscuits za Eatsome more. Leo sijuisikii kunywa local beer na sina enough money za kunywa heinken.

Ooh!! hiyo makitu ya Eat Some More tutaipitia hapo M'City...mama leo tunakuja vunja jungu ngoja nikusanye na hivi vi VISA card tuje kuchanja tu!!!
 
Kuna mtu kaingia mitini ha ha ha ha

135008_l_20130827104559_01.jpg
 
Kumbe ijumaa imeshafika....hio nyama hapo mhhh njaa,hizo chachandu na pilipili ndio zimefanya mdomo umejaa mate ngoja nikazifate zile mbavu za mbuzi dukani....lkn ningefurahi zaidi kama ningepata supu saa hii..
CC farkhina

Shosti apo kwenye ndimu na pilipili ndo patamuuu....supu na mie usinisahau
 
Last edited by a moderator:
vivian mi ndio najiandaa nikuje pande hizo vipi sijachelewa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom