serio JF-Expert Member Apr 15, 2011 7,306 4,681 Apr 11, 2014 Thread starter #21 tedo said: Na kuna mizuzu eti inakwenda kabisa kwa huyo mganga.. Click to expand... Watu wamechoka kiakili... Unaanzia wapi kwanza kwenda kujiunga na Freemason?
tedo said: Na kuna mizuzu eti inakwenda kabisa kwa huyo mganga.. Click to expand... Watu wamechoka kiakili... Unaanzia wapi kwanza kwenda kujiunga na Freemason?
ameline JF-Expert Member Jan 8, 2013 2,292 1,149 Apr 11, 2014 #22 Kingcobra said: Nchi hii kila jambo ni utapeli tu. Click to expand... si hapa tu ndugu ukienda kenya ndo hivihivi..uganda na west africa n.k utapel hasa kama huu ndo usiseme
Kingcobra said: Nchi hii kila jambo ni utapeli tu. Click to expand... si hapa tu ndugu ukienda kenya ndo hivihivi..uganda na west africa n.k utapel hasa kama huu ndo usiseme