wale wa free mason..

wale wa free mason..

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,354
Reaction score
4,772
396610_441922342495357_1946897429_n.jpg
haya, kazi kwenu..
 
Dah! Ni ulafi wa kuwalaghai walalahoi wanaoamini being a Freemason ni kuwa tajiri, stupid concept.
 
:dizzy::dizzy::nono::frusty::A S-confused1::faint::rapture::A S-devil4::flame:
 
Matangazo mengine bana ukisoma tu unacheka peke yako
 
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha chuo kitakachotoa certificate na bachelor of science in freemasonry nipo kwenye hatua za mwisho za kuandaa mitaala.Wenye interest wani-pm.
 
kweli watu wamechanganyikiwa....sasa JK na hilo tangazo vinahusu nini
 
Dr Chipoteka ni nomaaa kweli ukiwa na njaa unakua mbunifu sana hapo kwenye free mason atawatapeli wengi sanaaa!!
 
Nilichokiona hapo ni kwamba Dr. Chipoteka amestudy mazingira, akagundua fursa na kisha akachukua hatua. Akili kichwani, wajinga ndio waliwao.
 
Nilichokiona hapo ni kwamba Dr. Chipoteka amestudy mazingira, akagundua fursa na kisha akachukua hatua. Akili kichwani, wajinga ndio waliwao.

Kweli mkuu wajing ndio waliwao....
 
hilo tangazo linashabihiana a ilani za uchaguzi wa chama fulani.
atapata wateja wengi tu na ukiambiwa hutaamini
 
hilo tangazo linashabihiana a ilani za uchaguzi wa chama fulani.
atapata wateja wengi tu na ukiambiwa hutaamini
Business naona Inazidi kupamba moto
 

Attachments

  • 1397163252931.jpg
    1397163252931.jpg
    49 KB · Views: 94
Na hii dini haijawa tu wazi.... Ikiwa wazi waumini watapata wengi sana
 
Back
Top Bottom