Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,972
- 30,152
Kama bado maji hayajaisha endeleeni kujifungia tu hata makazini msiendeArusha mvua inaendelea, jana kunadada wa jiran alishindwa kurudi kwao kwa kuhofia kubebwa na maji, niponaye geto na baridi ni kali sana