joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,037
NdiyoTupo tumeona
Na ww unalala peke ako?
NdiyoTupo tumeona
Na ww unalala peke ako?
Kapulanyege mkuuUpo wap mkuu
OkKapulanyege mkuu
Dah mpira umeisha na baridi hii et naenda kulala peke yang dooh inaumaa
I love u mremboKina dada watajifanya hawajauona huu uzi wakat wengi sana humu wapweke
ww xi tulishspendana na mmNipo
I love u mrembo
Nimekuja!!! Nimesitisha tukazi twangu kwa usiku wa leo na kujilaza kitandani kama nimesulubiwa!!!
Samahan mwandiko wako ni wa kike tazo nikshisi kabintiKijana naona unataka kutatuliwa rinda sio bure....i love u too mrembo
Wanawake munao tafuta wanaume JF tumewachokaHaya wadau karibu sana wale mabingwa wa kulala peke yetu on bed,karibuni tu share mambo
Samahan mwandiko wako ni wa kike tazo nikshisi kabinti