Wale tunaolala peke yetu tukutane hapa

Wale tunaolala peke yetu tukutane hapa

Itakuwa nyie hamjazoea kulala peke yenu !!! Mwaka wa 26 huu nalala peke angu yani 18+26 na bdo nastahimili
 
Itakuwa nyie hamjazoea kulala peke yenu !!! Mwaka wa 26 huu nalala peke angu yani 18+26 na bdo nastahimili
Kwa mahesabu hayo.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unapaswa ukaonane na daktari aiseeeeee
 
IMG_1509.GIF
Nipo mwenyewd hapa, nimezima taa kwa mbali naona Kitu cheupe km kanzu aseee moyo unadunda mana naona km kinahama vile. SERIOUS
Nifungulie!
 
Kwa mahesabu hayo.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unapaswa ukaonane na daktari aiseeeeee
Daktari wa nini tena asee ....!! Hivi ni wanawake wanaohitaji kuwezeshwa au me ??? Siamini kama bila ke maisha hayaendi !!Its just a matter of mentality tu mkuu
 
Nipo mwenyewd hapa, nimezima taa kwa mbali naona Kitu cheupe km kanzu aseee moyo unadunda mana naona km kinahama vile, Mshana JR njoo utimue hawa wenzako asee. SERIOUS
Lala na fupa la kitimoto mkuu, wala hutaona kanzu nyeupe wala kizibao!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom