MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,706
- 6,535
- Thread starter
- #41
Huwa tunaenda kufanya umalaya lovenessmautamuMsomi wa chuo hata kuandika huwezi. Sijui huko chuoni huwa mnaendaga kufanya nini.
Huwa tunaenda kufanya umalaya lovenessmautamuMsomi wa chuo hata kuandika huwezi. Sijui huko chuoni huwa mnaendaga kufanya nini.
Inawezekana maana madogo nyie wa miaka hii ni empty kabisa kichwani au ulikuwa unasoma VETA maana nacho ni chuo.Huwa tunaenda kufanya umalaya lovenessmautamu
Ulichoandika ni ukweli mtupu wala hujakoseaInawezekana maana madogo nyie wa miaka hii ni empty kabisa kichwani au ulikuwa unasoma VETA maana nacho ni chuo.
Dah, nimekumbuka mwaka 2011 kipindi hicho nipo o'level bwana tulikuwa na kakikundi ketu ka wabukuaji yaani msuli tembo. Sasa kuna rafiki yetu yeye alikuwa na pisi fulani hivi machepele alafu nzuri kinoma, sasa baada ya muda tukaona mwana perfomance inaanza kushuka hasa mambo ya darasani ikabidi tumkalishe kitako kumuuliza kulikoni we buda unazingua kiasi hiko?, Mwamba akasema tatizo ni shemeji yenu ananicheza sana ni malaya kinoma nashindwa nifanyaje.Ndugu au wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, wakipata a chukua gunia ukavune.
Lakini mm sina hela kama umenipenda nipende na shida zangu tupendane nianze michakato ya ndoa sasa
Nmecheka sanaDah, nimekumbuka mwaka 2011 kipindi hicho nipo o'level bwana tulikuwa na kakikundi ketu ka wabukuaji yaani msuli tembo. Sasa kuna rafiki yetu yeye alikuwa na pisi fulani hivi machepele alafu nzuri kinoma, sasa baada ya muda tukaona mwana perfomance inaanza kushuka hasa mambo ya darasani ikabidi tumkalishe kitako kumuuliza kulikoni we buda unazingua kiasi hiko?, Mwamba akasema tatizo ni shemeji yenu ananicheza sana ni malaya kinoma nashindwa nifanyaje.
Tukamuambia acha ujinga mabinti wapo wengi na hawaishi hebu achana nae pita hivi usitake kutuharibia status kwani yeye nani bwana( si unajua wapambe bwana), mwamba tukamjaza akajazika akaenda kumchana yule bibie kuwa hamtaki tena na blah blah kibao mpaka bibie akakosa raha.
Sasa bwana kumbe tulitwanga maji kwenu yaani mwamba wetu ndio akazidi kufeli zaidi na zaidi na kukosa raha kabisa. Ikabidi akubali kurudisha mpira kwa kipa na ili aeleweke kwa manzi yake ikabidi atusilibie ile mbaya ili apate huruma kwa yule anayemnyima usingizi. Sasa bwana kufupisha story mwamba akawa anatukwepa hataki kuwa karibu na sisi kwa kama mda wa siku mbili hivi wakati sio kawaida yake, ndipo siku tatu yake baada ya mwamba kutokujumuika nasi tukamuona kwa mbali anakuja na bidada wakiwa wameshikana mikono, ile kuwaona tu nikamshtua mchizi kaka leo hakika mbingu na ardhi zitastaajabishwa na kiwango na matusi ambacho huyu manzi atakivurumisha hapa (maana ni mcharuko) sasa buda kula kushoto nami nile kulia ili tuiponye mioyo yetu na haya masimango. Kutoka nyakati zile sijawahi kutoa ushauri katika mapenzi ya mwatu wawili.
Juzi tu apa kuna demu kampiga mshikaji wangu na chupa ya soda kamwachia bonge la alama nikiwa pembeni yao kabisa af saiv wamerudiana tena na jamaa ana bonge la bandage kwenye utosi
Kuhusu nyege usijali mm nnazo kila mda naskia nyeg kwaiyo tutatumia zangu hzi hizi we nitunuku tu babyNakosaga nyege mwanaume akiwa hana hela
Kuhusu nyege usijali mm nnazo kila mda naskia nyeg kwaiyo tutatumia zangu hzi hizi we nitunuku tu baby
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaanza kutest mitambo kwanza bhna afu ndoa ndo inafata wakati najiandaa kutafta mahari lazma tuwe tunakulana kidg kdgNioe kwanza
Mpe mwenzako hacha mashartiNioe kwanza
Tunaanza kutest mitambo kwanza bhna afu ndoa ndo inafata wakati najiandaa kutafta mahari lazma tuwe tunakulana kidg kdg