Wale tuliowahi kuingilia ugomvi wa wapendanao kwa lengo la kusuluhisha tukutane hapa. Nini kilijiri baadae?

Ndugu au wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, wakipata a chukua gunia ukavune.
Dah, nimekumbuka mwaka 2011 kipindi hicho nipo o'level bwana tulikuwa na kakikundi ketu ka wabukuaji yaani msuli tembo. Sasa kuna rafiki yetu yeye alikuwa na pisi fulani hivi machepele alafu nzuri kinoma, sasa baada ya muda tukaona mwana perfomance inaanza kushuka hasa mambo ya darasani ikabidi tumkalishe kitako kumuuliza kulikoni we buda unazingua kiasi hiko?, Mwamba akasema tatizo ni shemeji yenu ananicheza sana ni malaya kinoma nashindwa nifanyaje.
Tukamuambia acha ujinga mabinti wapo wengi na hawaishi hebu achana nae pita hivi usitake kutuharibia status kwani yeye nani bwana( si unajua wapambe bwana), mwamba tukamjaza akajazika akaenda kumchana yule bibie kuwa hamtaki tena na blah blah kibao mpaka bibie akakosa raha.
Sasa bwana kumbe tulitwanga maji kwenu yaani mwamba wetu ndio akazidi kufeli zaidi na zaidi na kukosa raha kabisa. Ikabidi akubali kurudisha mpira kwa kipa na ili aeleweke kwa manzi yake ikabidi atusilibie ile mbaya ili apate huruma kwa yule anayemnyima usingizi. Sasa bwana kufupisha story mwamba akawa anatukwepa hataki kuwa karibu na sisi kwa kama mda wa siku mbili hivi wakati sio kawaida yake, ndipo siku tatu yake baada ya mwamba kutokujumuika nasi tukamuona kwa mbali anakuja na bidada wakiwa wameshikana mikono, ile kuwaona tu nikamshtua mchizi kaka leo hakika mbingu na ardhi zitastaajabishwa na kiwango na matusi ambacho huyu manzi atakivurumisha hapa (maana ni mcharuko) sasa buda kula kushoto nami nile kulia ili tuiponye mioyo yetu na haya masimango. Kutoka nyakati zile sijawahi kutoa ushauri katika mapenzi ya mwatu wawili.
 
.
603673216.jpg
 
Nmecheka sana
kama nawaona mlivojikataa baada ya kumuona bidada, pole yenu
 
Back
Top Bottom