Wale tuliosoma Usagara sec-Tanga

Hivi huyu Rwechungura ni yule wa hesabu na physic? Miaka ya 76-77wanafunzi walikuwa wanamwita kichwa cha nyoka
 
Hivi huyu Rwechungura ni yule wa hesabu na physic? Miaka ya 76-77wanafunzi walikuwa wanamwita kichwa cha nyoka
Haswaaa, kuna jina alipewa ila nishalisahu. Jamaa katutesa sana kwenye Physics Form One.
 
1976 timu ya usgara ilipocheza na poptal namkumbuka sadik heri baharia walikuwa wanawaambia poptal wao wao wanacheza mpira wakati usagara wanacheza football
Watu wale chumvi zao bana
 
Haya bana classmate 2009. Mr. Kisinza Hostel master. Pia nakumbuka tukio la wanafunzi wa kiislam CBG kutaka kumuua mwl GS kwa ajili kusema vibaya mtume wao. Mkwizu Mkuu aliyekuwa anatumia usafiri wa baiskeli kutoka usagara mpaka sahare
 
Hahahaha yule ticha yupo Sua pale ni human resource officer .mwanafunz alikuwa salimu alikuwa mtata sanaa siku hiyo jamaa alifundishaa mambo ya gender inequality akatoa mifano ya dini zote ilaa kweny uislam akakazia kidogo jamaa akasimama na kumwambia mwl futa kauli tchaa akachukulia pw kesho yake wakagoma kuingia class
 
Dahaa ilikuwa sanaa. Pande za Mkuu kwa sasa
 
We ulikuwa CBG I guess na ulisoma SUA veti
Mzeee ndo maana tunatumia ID tunasemaga anthrax .meaning don't expose the carcass spores of bacillus anthrancis will spread
 
1976 timu ya usgara ilipocheza na poptal namkumbuka sadik heri baharia walikuwa wanawaambia poptal wao wao wanacheza mpira wakati usagara wanacheza football
Duuuuh 1976 kitambo aseee shikamoo sanaaa nahc nyi ndo mlituachia Yale material
 
Uuuwi, look to this day,

Kama unamkumbuka mwalimu mkuu Babu Dictator a.k.a Mkwizu

Nakumbuka Bito Cup,
advance tulikua tunaligi ya kugombea mikate na soda

Nimetoka pale 2010 form six PCB 2
Hahaha 2011 pcm
 
Huyu mwalimu alitufanya tupende sana michezo.
Daar aisee 90s kitambo sanaa kwel jf inatuleta pamoja maana hii miaka mm natambaa watu wanapiga shule na kupishana koridon usagara
 
Hahahaha
Mambo ya kutoa Mzimu.
Fomu five wajeuri ndio walikuwa wanaipata fresh. Yaani unaferi kabla hata ya pepa.

Hahahahaha
RIP Mkuu was Chuo Mwl.Mood
 
mwaka 2010-2012 hususani form six walikuwa pcm wananiita osamamtoto nlikuwa complicator sana nlikuwa mkali wa kuchambua na kujibu hoja ngumu na nyepesi bila kupepesa macho mbele wala nyuma ila sinto sahau nlipokuwa 4m5 2010 usiku mvua ilinyesha alafu ikapga shoti watua acha tukimbie kuruka huku na kule jamaa akajikuta yupo nje ametoka na neti mwingne alishikwa na neti akabaki analia watu wanasepa yy akabaki kusema niachie niachie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…