Wale tuliosoma advanced physics

Ntaanzisha tuition humu naona watu mmeteseka kumbe.

Haya mambo easy kabisa....

Tizim na mechanics ni urefu tu ila tamu.

Wave tamu vile unaitaja vipi eti ngumu? acheni maskhara nyie
Jamani hio "tizim" ni topic ya Physics? Mbona ngeni kwangu?
 
mimi hakuna topic ya physics niliyoshindwa kwa kuwa nilikuwa complex,ila kule kwenye benzene kulikuwa kunaninyima raha .
 
Pale milambo nilikuwa mbabe wa physics japo nilipga PCB mwaka 2011
 
Reactions: DLS
HAHAAA USINCHEKESHE MIMI...UNATOA MACHO KAMA FUNDI SAA AILEBANWA NA MLANGO...

Hahahahaa, mkuu hapo hukawii kujitungia swali. Kuna jamaa mmoja tulisoma naye pepa ilimtoa mwanzo mwisho. Kilichofuata ni jamaa akajitungia maswali yake na kisha akayasolve vizuuuri.

Kuja kurudishiwa pepa, ticha kamuuliza. Akamwambia sasa ticha hivyo nilivyoaolve ndo nilivisoma, na wewe hjjatoa niliposoma. Si ningepata zero, nimfanya hivyo ili uone namna ulivyonipiga chenga.

Watu wote tuliangua vicheko, mwalimu akampa 20%
 
 

Mkuu, mtu aliye soma Advanced Level Physics utamjua tu!!
 
Mechanics dah imenizingua sana
 
98%physics????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…