HAHAAA USINCHEKESHE MIMI...UNATOA MACHO KAMA FUNDI SAA AILEBANWA NA MLANGO...Hahahaah, unaishia definition tuu na kuandika data na kanuni unazozikumbuka. Utata unaanziaga pale unapoandika kanuni halafu unakuta data kibaaaao huna.
Hukawii kucoment swali limekosewa.
Mkuu logic gates hapo ilikuwa bado hujamaliza Electronics. Hahahaaaha, ngoma ilikuwa inaendelea kwenye Bistable, Monostable na Astable multivibrators. Uchore sakiti zake na uelezee. Ukitoka hapo unaingia katika OPAMP, hujakaa sawa unarudishwa katika calulations za oscilators na amplifire. Kisha ndo unaachiwa upumue katika hivyo vilogic gates.
Dah ila tumeteseka sana aisee. Huku ukiangalia hakuna guide sylabus toka wizara, wala hakuna kitabu official cha wizara, kila mtu anasoma anachojua yeye.
daaa universe physics na roger makasta ndo vitabuu vyangu HV full kuejoy physicsmzee nilikua naipenda physics mpaka watu wakanita Mudyton walijua nina undugu na Newton. Yaani kuna maswali magumu ya physics kwenye kitabu cha university physics (UP) watu walikua wanayawekea vidoti, mimi ndio nilikua naviondoa hivyo vidoti. wakanipa jina mzee wa kuondoa vidoti. Yaani nikikumbuka physics ya advance ilikua raha sana. matopic kama heat, wave, static na current electricity, electronics. full mzuka.
hahaaaufundi ni pale unapoona swali Kwenye paper na unakumbuka mpaka page ya
CHAND lilipotolewa
he!na ww ulisoma phys?Nishasahau hata! Sitaki kusikia
he!na ww ulisoma phys?Nishasahau hata! Sitaki kusikia
he!na ww ulisoma phys?Nishasahau hata! Sitaki kusikia