Heshima Kwenu wakuu,
Hatimaye Nacte wanazidi kuachia majina kupitia vyuo husika, hulka yetu yakujua umepata au la sasa imeisha.
Kwa wale wanaokifahamu chuo hiki cha TIA hasa main campus DSM naomba kujua kuhusu upatkanaji wa hostel hasa vgezo na gharama zao. Lakini pia namna ya kupata admission letter
Natanguliza shukrani