Wale Mnaosema Kataa Ndoa Nawapinga Kabisa

Wale Mnaosema Kataa Ndoa Nawapinga Kabisa

Aiseee Morning Glory wanandoaa!

Basi bwana week yote hii uku kwetu Mbeya Vijijini nimetembelewa na Mama yenu mdogo wengine Bibi yenu wengine Shemeji yenu na wengine wifi yenu na Wengine Lishangazi lenu. Sasa napewa yote kila mahali jikoni ni twaa twaa chooni ni twaa twaa sebuleni twaa sijawahi kukiexpirence ichi kitu wanandoa mnafaidi sana sana.

N.B Next week naenda kutoa mahali kwao Tanga-Handeni barabara ya Saba Kwa Mgosi.
Halafu ukiishamuoa tu, baada ya wiki unaanza kutamani Binti wa jirani.
 
Ndoa ni baraka asante kwakukataa shetani na mambo yake yote nafurahi wewe umechagua jambo jema so kapambanie kombe uoe . Mwanamke ni mwanamke tu lazima waoelewe mkajaze dunia . Hii ya kuwa single na kupata uti ni mbaya sana bora uishi kwa kujiachia watu wote wajue
 
Karibu kwenye chama.

Kila mtu aishi maisha yake, unachopata wewe, sio apatacho mwenzio, hivyo usimcheke asiyetaka ndoa, kila mtu ana tafsiri yake.

Kubwa zaidi, usiolee AKILI ZA NYEGE
Sawa mzee Makaveli Mkuchi ngoja nioe Kwanza huyu mdada naona ananifaa sana
 
Ndoa ni baraka asante kwakukataa shetani na mambo yake yote nafurahi wewe umechagua jambo jema so kapambanie kombe uoe . Mwanamke ni mwanamke tu lazima waoelewe mkajaze dunia . Hii ya kuwa single na kupata uti ni mbaya sana bora uishi kwa kujiachia watu wote wajue
Ndoa ni taasisi takatifu sana na ieshimiwe na watu wote karibu nitakupa kadi ya ubwabwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nasikia ndio wanavyokuwaga hivyo mwanzoni mwanzoni ili wakuweke wavuni
Jiroge uoe sasa,hakuna rangi utaacha kuona....yaani hautaacha kusema
Mkuu niombee tu bhana nitoboe najua hawezi kubadilika
 
Nasikia ndio wanavyokuwaga hivyo mwanzoni mwanzoni ili wakuweke wavuni
Jiroge uoe sasa,hakuna rangi utaacha kuona....yaani hautaacha kusema
1665496605970.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom