Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,809
- Thread starter
- #41
Asante mzee oooooh! Si unajua shule zetu za kata hiziKila lakheri kwako ila ni Mahari na siyo mahali.
Asante mzee oooooh! Si unajua shule zetu za kata hiziKila lakheri kwako ila ni Mahari na siyo mahali.
Uje bhana unanafasi yako ya kusalimia ukumbiniTena ikifanyika kule usambaani nitakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee sawaTunza Kibunda
Tuombeane bhana naona nitatoboa hadi kifoKabla ya Kombe la Dunia lijalo(2026) utakuja na ID Fake kuomba ushauri wa Ndoa yako
Hii haihusiani na Shule za Kata hii ni wewe mwenyewe.Asante mzee oooooh! Si unajua shule zetu za kata hizi
Kila la kheriTuombeane bhana naona nitatoboa hadi kifo
Kuoa ni jamba jema sana.Aiseee Morning Glory wanandoaa!
Basi bwana week yote hii uku kwetu Mbeya Vijijini nimetembelewa na Mama yenu mdogo wengine Bibi yenu wengine Shemeji yenu na wengine wifi yenu na Wengine Lishangazi lenu. Sasa napewa yote kila mahali jikoni ni twaa twaa chooni ni twaa twaa sebuleni twaa sijawahi kukiexpirence ichi kitu wanandoa mnafaidi sana sana.
N.B Next week naenda kutoa mahali kwao Tanga-Handeni barabara ya Saba Kwa Mgosi.