Wale mnaomshangaa Rais Magufuli kutosafiri nje ya nchi someni ya Tshisekedi

Kwa Rais kutumia milioni hamsini kwa nchi tajiri Kama Kongo sio kitu kikubwa Ni hela ndogo tu hiyo
Unatatizo Kwenye akili. Miluoni $50 ni sawa kujenga hospital 15. Alafu unasema Pesa kigogo? End fikiria tena. Tazama maisha ya wakongo Kwa sasa
 
@he truecaller, Sisi tuna rasimali kibao kama Congo, kama madini, misitu etc kwanini sisi hatutumii hizo resources kujitajirisha kama ni rahisi hivyo.
 
Rais wa DRC bwana Tshisekedi, ametumia U$ milioni hamsini, ndani ya miezi tisa ya uongozi wake kwa kusafiri jumla ya safari thelathini na tisa nje ya nchi ya DRC, hususani kwenda Ulaya na kwingineko.

Hii ni taarifa toka BBC Swahili leo 29th November 2019. Ikinukuu taarifa ya CAG wa serikali ya Congo.

Je nini maoni yenu Watanzania wenzangu?

Mimi nasema; Viva Rais Magufuli shikilia uzi wako nchi isonge mbele.
Swala muhimu sio ametumia pesa kiasi gani, je umeuliza safari hizo zimesababisha manufaa gani kwa nchi yake DRC?!
 
the truecaller, post: 33621198, member: 550611"]Rais wa DRC bwana Tshisekedi, ametumia U$ milioni hamsini, ndani ya miezi tisa ya uongozi wake kwa kusafiri jumla ya safari thelathini na tisa nje ya nchi ya DRC, hususani kwenda Ulaya na kwingineko.

Hii ni taarifa toka BBC Swahili leo 29th November 2019. Ikinukuu taarifa ya CAG wa serikali ya Congo.

Je nini maoni yenu Watanzania wenzangu?

Mimi nasema; Viva Rais Magufuli shikilia uzi wako nchi isonge mbele.[/QUOTE]Mbona hilo jambo la kawaida, Ungeulizwa swali kwamba hizo safari zinafaida gani kwa wakongo kwa miaka ijayo, hiyo ingekua hoja
Tumia pesa upate pesa.
 
Huyu wetu hasafiri nje ya nchi lakini ripoti ya CAG ilikua inasoma imepotea tirion 1.6 kwa mwaka
 
the truecaller,
Hata sioni kitu cha ajabu hapo kwani huko nyuma congo haikuwa na mahusiano mazuri ya kimataifa, sasa ili kuyajenga upya lazima ahangaike kweli kweli, bila hivyo hataweza, mataifa mengi hasa ya ulaya yaliishaitenga congo.
 
the truecaller,
Hata sioni kitu cha ajabu hapo kwani huko nyuma Congo haikuwa na mahusiano mazuri ya kimataifa, sasa ili kuyajenga upya lazima ahangaike kweli kweli, bila hivyo hataweza, mataifa mengi hasa ya ulaya yaliishaitenga Congo.
 
the truecaller,
Hata sioni kitu cha ajabu hapo kwani huko nyuma congo haikuwa na mahusiano mazuri ya kimataifa, sasa ili kuyajenga upya lazima ahangaike kweli kweli, bila hivyo hataweza, mataifa mengi hasa ya ulaya yaliishaitenga congo.
 
Hiyo ni sawa na bilioni moja kwa hela za madafu. Sema tena kwa sauti kuwa kwa nchi tajiri kama DRC sio issuue saaana. Kuna watu wengine humu diploma zenu haziwasaidii kabisa. Labda kwa sababu ni za kupewa tu
Kwa Rais kutumia milioni hamsini kwa nchi tajiri Kama Kongo sio kitu kikubwa Ni hela ndogo tu hiyo
 
Unatatizo Kwenye akili. Miluoni $50 ni sawa kujenga hospital 15. Alafu unasema Pesa kigogo? End fikiria tena. Tazama maisha ya wakongo Kwa sasa
Umeme Kongo Ni bure hulipi hata mia utasemaje Wana maisha mabaya?
 
Beira Boy,
Kama kuna mtu ananunuliwa kutoka chama cha upinzani na anakubali basi sioni sababu ya kuwaamini wapinzani. Kama waweza nunuliwa na hela za madafu unakubali je dollar ikitumika lazima wauze nchi hawa.
 
Kama kuna mtu ananunuliwa kutoka chama cha upinzani na anakubali basi sioni sababu ya kuwaamini wapinzani. Kama waweza nunuliwa na hela za madafu unakubali je dollar ikitumika lazima wauze nchi hawa.
Wewe unataka kutuambia yale mamilioni yanayogawiwa kwa wapiga kura wake kila msafara unaposimama ni wapinzani ndo wanapewa?
 
Anybody home?
Rais wa DRC bwana Tshisekedi, ametumia U$ milioni hamsini, ndani ya miezi tisa ya uongozi wake kwa kusafiri jumla ya safari thelathini na tisa nje ya nchi ya DRC, hususani kwenda Ulaya na kwingineko.

Hii ni taarifa toka BBC Swahili leo 29th November 2019. Ikinukuu taarifa ya CAG wa serikali ya Congo.

Je, nini maoni yenu Watanzania wenzangu?

Mimi nasema; Viva Rais Magufuli shikilia uzi wako nchi isonge mbele.
 
Mbona safari za ndani pekee zinatafuna mipesa?
1.5 tr iko wapi?
 
Wakerewe 7:12-15 Rais Magufuli hasafiri nje ya mipaka ya Tanzania hilo ni kweli kabisa hakuna anayebisha

Hela anayookoa kwenye safari yeye anaenda kununulia wapinzani kwahiyo hesabu inakuja ile ile

Sawa na mtu ambaye hali chakula cha mchana kisa bajeti lakin njaa ikimuuma ikifika saa tisa ananunua ndizi mbili za 400 na ikifika saa kumi ananunua maandazi matatu ya 900 anabugia,

Kwahiyo unajikuta umetumia pesa ndefu bora hata ungekula mchana. Asema bwana
Umeongea
 
B
umewahi kuuona msafara wa mzee hapa nchini akizunguka zunguka? Unadhan kwa msafara ule plus per DM za wale wote, unadhan inakua sh ngap kwa siku?

kaka, unaweza usiende nje ya nchi ila ukatumia pesa ndefu kwa ruti za humu humu bongo Consultant,
Bado na zile zinazobebwa kwenye begi kwa ajili ya kugawa,
Kuna zinazogawiwa hadharani kuwahadaa wadanganyika kwamba bwana yule anahiruma na shida zao,
 
Back
Top Bottom