WALE MNAO VAA KATA" K" ujumbe wenu huu hapa

WALE MNAO VAA KATA" K" ujumbe wenu huu hapa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
boys-funny-humour-jail-pants-Favim.com-441591.jpg
w
 
watu wanaiga kila kitu bila kujua maana ya hicho wanachokiiga.
 
Kumbeeeee....they were showing their butts......A signal that they can be penetrated by other men.

ImageUploadedByJamiiForums1363118632.289858.jpg
 
Hiki ni kizazi cha dot com na utakapo kupata historea zao basi usishangai ni kumeza tuu
 
Sikuhuzi na baadhi ya wadada wanavaa,nao wanamaana gani?
 
Nawe swaga hizo unazo??
Siku hizi kiaina mara moja moja ila sio sana kama zamani.

Huwezi ona hata nguo yangu ya ndani, nikipiga hivyo ujue nachomekea na vest kwa ndani juu natupia shati au fulana labda niwe kifua wazi ndio unaweza ona nguo yangu ya ndani na hata hivyo huwa sishushi sana na mara nyingi nikipiga hivyo ujue mkanda siutaki siku hiyo
 
Ouh hongera sasa uta upgrade rasmi lini?
 
Back
Top Bottom